Mkuu wa wilaya ya Kigamboni, Sara Msafiri ameagiza kumuweka ndani mkandarasi  anayejenga ukuta wa eneo la Kampuni ya Afroil iliyopo Vijibweni jijini Dar es salaam baada ya kukaidi agizo alilotoa jana la kusitisha ujenzi wa ukuta huo mpaka pale atakapojiridhisha kwani eneo hilo ni la barabara.
Mhandisi wa Umeme wa kampuni ya Mihani,Kelvn Lubagula  wa (kwanza kulia)akimwelezea Mkuu wa wilaya ya Kigamboni,Sara Msafiri (wapili kulia) mtambo kusafirisha gesi kwenda kwnye matenki mbalimbali  unavyo fanya kazi leo katika ziara ya kukagua vituo vya kuhifadhi gesi leo jijini Dar es Salaam. 
 Mkuu wa wilaya ya Kigamboni,Sara Msafiri akiwa ameongozana na kamati ya ulinzi ya wilaya hiyo wakikagua mitambo mbalimbali ya kampuni ya gesi ya Mihani ya  katika ziara ya kukagua vituo vyakuhifadhi gesi leo jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka,MMG)


Mkandarasi  anayejenga ukuta wa eneo la Kampuni ya Afroil iliyopo Vijibweni jijini Dar es salaam akiwa chini ya ulinzi badaada ya Mkuu wa wilaya ya Kigamboni,Sara Msafiri kugiza kumuweka nanda msaa 12. kwakosa la kukaidi agizo alilotoa jana la kusitisha ujenzi wa ukuta huo mpaka pale atakapojiridhisha.Mafundi wakiendelea na ujenzi  katika eneo  la Kampuni ya Afroil iliyopo Vijibweni jijini Dar es salaam alilotoa jana la kusitisha ujenzi wa ukuta huo mpaka pale atakapojiridhisha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...