Picha za juu (Drone Photos) za majengo ya Kituo cha Afya cha Mbonde kilichopo katika Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara. Kituo hicho kimefunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kikiwa ni moja ya vituo vya afya vipya 13 vya Mkoa wa Mtwara na vituo vya afya vipya 352 vilivyojengwa katika maeneo mbalimbali hapa nchini Tanzania.
Home
AFYA
MATUKIO
Muonekano wa Picha za Kituo cha Afya Mbonde Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara kilichozinduliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...