
Na Leandra Gabriel, Blogu ya Jamii
MWILI wa aliyekuwa Waziri mkuu na kiongozi mkubwa wa upinzani nchini Kongo Etienne Tshisekedi umewasili nchini humo ukitokea Ubelgiji ikiwa imepita miaka miwili tangu kufariki kwake.

Kuwasili kwa mwili wake umezua hisia kubwa wakati ukiwasili baada ya kusubiriwa kwa miaka miwili kutokana na zuio la kiongozi huyo kurejea nchini.


Maelfu ya watu walijitokeza katika uwanja wa ndege mjini Kinshasa wakiimba wakati jeneza lililobeba mwili wa kiongozi huyo likishushwa huku likiwa limefunikwa bendera ya nchi hiyo.


Mazishi ya kiongozi hayo yatafanyikwa kwa heshima kubwa ikiwa kijana wake ndiye Rais wa sasa wa nchi hiyo.
Pretty! This has been an extremely wonderful article. Many thanks for supplying this information.if you are having Great Collections of Free IPTV M3U Playlist Don’t Forget to Share with Us & Also Ask Us If you have any questions use the comments box. Also, if you want to thanks us for the Latest IPTV Channel Playlist 2019. you can do it just by sharing this article on social media platforms such as Facebook, Whatsapp , Twitter, and Pinterest”
ReplyDelete