Meneja
Uhusiano wa Jamii Kampuni ya Songas, Nicodemus Chipakapaka (kulia)
akimkabidhi mkuu wa wilaya ya Ubungo, Kisa Makori (Kushoto) vifaa vya
usafi vyenye thamani ya Shilingi milioni 10 katika hafla fupi
iliyofanyika katika viwanja vya Manzese Bakhresa jijini Dar es Salaam,
jana. Vifaa hivyo ni sehemu ya
mchango wa Kampuni ya Songas ili kutia nguvu mpango wa serikali wa
kutunza na kuhifadhi mazingira, hasa hasa tukielekea maadhimisho ya wiki
ya mazingira inayosherekewa duniani kote kila tarehe 6 Juni.
Meneja uhusiano wa jamii wa Kampuni ya nishati, Songas, Bw Nicodemus Chipakapaka (kushoto) akizungumza katika hafla ya ukabidhi wa vifaa vya usafi vyenye thamani ya shilingi milioni 10 kwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Bw. Kisa Makori katika viwanja vya Manzese Bakhresa jijini Dar es Salaam wikiendi. Vifaa hivyo ni sehemu ya mchango wa Kampuni ya Songas ili kutia nguvu mpango wa serikali wa kutunza na kuhifadhi mazingira, hasa hasa tukielekea maadhimisho ya wiki ya mazingira inayosherekewa duniani kote kila tarehe 6 Juni.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...