Kamanda wa polisi mkoani Ruvuma Simon Maigwa Marwa akionesha Bunduki mbili aina ya AK 47 kwa waandishi wa Habari zilizokamatwa katika kijiji cha Nambendo Songea vijijini ambazo zimeingizwa kutoka Nchi jirani ya MSUMBUJI ambapo watu wanne wanashikiliwa na kuhusiana na tukio hilo.
Mkazi wa kijiji cha Nambendo tarafa ya Muhukuru Issa Millanzi akiwa na meno mawili ya tembo yenye thamani ya zaidi ya Ml 50 baada ya kukamatwa na Polisi kufuatia msako mkali unaofanywa na Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma kuwasaka watu wanaojihusisha na matukio ya uharifu na ujangili katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo hasa maeneo yanayopakana na Nchi jirani ya MSUMBUJI,




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...