Meneja wa Huduma za Benki za Kidijitali wa Benki ya Biashara Mkombozi Bw. Boniface Thomas (kushoto), akimkabidhi kadi ya akaunti ya akiba mteja mpya Bi. Lusia Benson alipotembelea banda la benki hiyo katika maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa ‘Sabasaba’ Jijini Dar es Salaam.
PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON
 Meneja wa Huduma za Benki za Kidijitali wa Benki ya Biashara Mkombozi Bw. Boniface Thomas (kushoto), akimkabidhi zawadi ya tisheti Bi. Vitoria Silayo  baada ya kufungua akaunti ya akiba  alipotembelea banda la benki hiyo katika maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa ‘Sabasaba’ Jijini Dar es Salaam (katika) Meneja Mikopo wa Benki ya Biashara Mkombozi Bw. Andrew Chimazi. 
 Afisa Masoko wa Benki ya Biashara Mkombozi Bw. Antony Munyambo (kushoto), akimkabidhi kadi ya akaunti ya akiba mteja mpya Bi. Lucy Peter alipotembelea banda la benki hiyo katika maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa ‘Sabasaba’ Jijini Dar es Salaam.
 Meneja wa Huduma za Benki za Kidijitali wa Benki ya Biashara Mkombozi Bw. Boniface Thomas (kushoto), akimkabidhi kadi ya akaunti ya akiba mteja mpya Bi. Jesinta  Benson alipotembelea banda la benki hiyo katika maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa ‘Sabasaba’ Jijini Dar es Salaam.
 Meneja Mikopo wa Benki ya Biashara Mkombozi Bw. Andrew Chimazi (kulia), akimuonesha  Bi. Victoria Silayo kipeperushi chenye maelezo ya huduma za kibenki alipotembelea banda hilo kwaajili ya kufungua akaunti maalumu ya akiba .katika maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa ‘Sabasaba’ Jijini Dar es Salaam.
 Afisa Uendeshaji wa Benki ya Biashara Mkombozi Bw. Erick Musiba (kulia),akiwaonesha wananchi kipeperushi chenye maelezo ya MWANA ACCOUNT kwa ajili ya watoto walio na umri chini ya miaka kumi na nane, inayomuwezesha mzazi kuweka akiba kwa ajili ya watoto ili kuwajengea tabia ya kujiwekea akiba wanapofikia umri wa kujitegemea.
 Meneja Mikopo wa Benki ya Biashara Mkombozi Bw. Andrew Chimazi (kushoto), akimuelezea mwananchi kuhusina na akaunti ya bima alipotembelea banda hilo katika maonesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa ‘Sabasaba’ Jijini Dar es Salaam.
 Picha ya pamoja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...