Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akiwasilisha mada kuhusu uandishi wa habari za Kiserikali wakati wa mafunzo kwa Maafisa Habari na Mwasiliano wa Serikali na taasisi zake leo jijini Dodoma.Mafunzo hayo ya siku tano yameandaliwa kwa ushirikiano baina ya Idara ya Habari – MAELEZO na Cham cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa hao.
Afisa Habari toka Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali, Daud Nyingo akichangia mada wakati wa mafunzo wakati wa mafunzo kwa Maafisa Habari na Mwasiliano wa Serikali na taasisi zake leo jijini Dodoma.Mafunzo hayo ya siku tano yameandaliwa kwa ushirikiano baina ya Idara ya Habari – MAELEZO na Cham cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa hao.
Afisa Uhusiano wa Tume ya Nguvu za Atomiki, Angela Msangi akijibu swali walilopewa wakati wa mafunzo kwa Maafisa Habari na Mwasiliano wa Serikali na taasisi zake leo jijini Dodoma. Mafunzo hayo ya siku tano yameandaliwa kwa ushirikiano baina ya Idara ya Habari – MAELEZO na Cham cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) kwa lengo la kuwajengea uwezo maafisa hao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...