Mfanyabiashara ndogondogo maarufu kama Machinga amaye jina lake halikupatikana akitembeza bidhaa wakati wakisaka wateja katika foleni ya magari, Barabara ya Bagamoyo eneo la Sayansi leo jijini Dar es Salaam.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Machinga wakiteta jambo wakati wakisaka wateja katika foleni ya magari, Barabara ya Bagamoyo,eneo la Sayansi leo jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...