Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Vodacom
Tanzania Plc, Bw. Ali Mufuruki (katikati) akizungumza na waandishi wa habari
mara baada ya kumalizika kwa mkutano wa mwaka wa wanahisa wa Vodacom
uliofanyika jijini Dar Es Salaam leo. Wengine pichani ni Mkurugenzi Mtendaji wa
kampuni hiyo Hisham Hendi (kushoto) na Mkurugenzi wa Fedha Jacques Marais.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Vodacom Tanzania Plc,
Hisham Hendi akibadilishana mawazo na Mkurugenzi, Bi. Margaret Ikongo kwenye
mkutano mkuu wa mwaka wa wanahisa wa Vodacom Tanzania Plc uliofanyika leo
jijini Dar Es Salaam
Sehemu ya wanahisa waliojitokeza kwenye mkutano wa mwaka wa
Vodacom Tanzania Plc uliofanyika jijini Dar Es Salaam leo.
Mkuu wa Mipango na Uwekezaji wa Vodacom Tanzania Plc, Hilda
Bujiku akizungumza na wanahisa waliohudhuria mkutano mkuu wa mwaka wa wanahisa
wa Vodacom Tanzania jijini Dar Es Salaam leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...