Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. PalamagambaJohn Kabudi (Mb) akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Rwanda nchini, Meja Jenerali Karamba Charles.
Mkuu wa Itifiki wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Balozi Wilbert Ibuge akimkaribisha Balozi Mteule wa Rwanda nchini, Meja Jenerali Karamba Charles katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam.
Balozi Mteule wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Balozi Manfredo Fanti akifafanua jambo kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. PalamagambaJohn Kabudi (Mb) akiwa katika mazugumzo na Balozi Mteule wa Umoja wa Ulayanchini Tanzania, Balozi Manfredo Fanti katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar esSalaam.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. PalamagambaJohn Kabudi (Mb) akipokea hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Balozi Manfredo Fanti.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...