Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe.
Job Ndugai (watatu kushoto) na Naibu Spika wa Bunge la Watu wa China,
Mhe. Ji Bingxuan (wa tatu kulia) wakizindua Mpango wa ushirikiano wa
Asasi za kiraia za Tanzania na za China Jijini Dar es Salaam. Wengine
katika picha ni Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki (wa
kwanza kulia), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya UKIMWI, Mhe. Oscar
Mukasa (wa kwanza kushoto) na Balozi wa China nchini Mhe. WANG Ke (wa
pili kushoto).

Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe.
Job Ndugai akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mpango wa
ushirikiano wa Asasi za Kiraia za Tanzania na za China Jijini Dar es
Salaam.

Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe.
Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Naibu Spika wa Bunge la Watu wa
China, Mhe. Ji Bingxuan (kulia) kabla ya uzinduzi wa Mpango wa
ushirikiano wa Asasi za Kiraia za Tanzania na za China Jijini Dar es
Salaam.



Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe.
Job Ndugai (katikati) akizungumza na Naibu Spika wa Bunge la Watu wa
China, Mhe. Ji Bingxuan (kulia) alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar
es Salaam. Kushoto ni Balozi wa China nchini, Mhe. WANG Ke.

Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe.
Job Ndugai pamoja na ujumbe wake (kulia) katika mazungumzo na Naibu
Spika wa Bunge la Watu wa China, Mhe. Ji Bingxuan pamoja na ujumbe wake
(kushoto) Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe.
Job Ndugai (kushoto) akimkabidhi zawadi ya picha ya Jengo la Bunge,
Naibu Spika wa Bunge la Watu wa China, Mhe. Ji Bingxuan (kulia) mara
baada ya mazungumzo Jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...