Mkuu
wa Magereza Mkoani Dar es Salaam, SACP. Julius Ntambala(kushoto) akitoa taarifa
fupi kwa Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Suleiman Mzee(wa pili toka
kulia) mapema leo alipokagua zoezi la uwekaji miundombinu ya maji katika
majengo ya makazi ya Maafisa na askari Magereza, Ukonga Dar es Salaam kabla ya
kutembelea eneo la ujenzi wa Hospitali Kuu ya Jeshi hilo.
Moja ya majengo ya makazi ya Maafisa na askari
wa Jeshi la Magereza yaliyopo Ukonga Dar es Salaam ambayo yamekabidhiwa hivi
karibuni na Rais Magufuli.
.
Mkuu wa Magereza Mkoani Dar es Salaam, SACP. Julius Ntambala akitoa taarifa
fupi kwa Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Suleiman Mzee(wa pili toka
kulia) mapema leo alipokagua zoezi la uwekaji miundombinu ya maji katika
majengo ya makazi ya Maafisa na askari Magereza, Ukonga Dar es Salaam kabla ya
kutembelea eneo la ujenzi wa Hospitali Kuu ya Jeshi hilo(Picha zote na Jeshi la Magereza).
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Suleiman Mzee
akisalimiana na Mkuu wa Kiwanda cha Samani cha Gereza Kuu Ukonga, ACP. John
Itambu mapema leo alipokagua zoezi la uwekaji miundombinu ya maji katika
majengo ya makazi ya Maafisa na askari Magereza, Ukonga Dar es Salaam kabla ya
kutembelea eneo la ujenzi wa Hospitali Kuu ya Jeshi hilo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...