Mkurugenzi wa Bidhaa za Kijamii wa T-MARC Tanzania, Flavian Ngole, akiongea na wanafunzi wa kike shule ya sekondari Mugabe wakati wa hafla ya kukabidhi taulo za kike kwa wanafunzi wa shule hiyo.
Mkurugenzi
wa Bidhaa za Kijamii wa T-MARC Tanzania, Flavian Ngole, (kushoto)
akikabidhi taulo za kike kwa mmoja wa wanafunzi wa shule ya sekondari
Mugabe iliyopo wilayani Kinondoni,Judith Michael, wakati wa hafla ya
kukabidhi msaada wa taulo za kike zilizozinduliwa na taasisi hiyo nchini
zinazojulikana kama Flowless, kwa wanafunzi wa shule hiyo ,wa pili
kushoto ni balozi wa bidhaa hiyo, Dinnah Marrios.
Mkurugenzi wa Bidhaa za Kijamii wa T-MARC Tanzania, Flavian Ngole (kushoto) akikabidhi taulo za kike kwa Mwalimu mlezi wa shule ya sekondari Mugabe iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam, Theresia Paulo, wakati wa hafla ya hafla ya kukabidhi msaada wa taulo za kike zilizozinduliwa na taasisi hiyo nchini zinazojulikana kama Flowless, wa pili kushoto ni balozi wa bidhaa hiyo, Dinnah Marrios.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...