Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mbunge wa Kuteuliwa, Mama Salma Kikwete, bungeni jijini
Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Sera, Bunge,Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama
(kushoto) akizungumza na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani
(kulia) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Profesa Adelardus Kilangi,
bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene,
bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani, bungeni jijini
Dodoma Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye ulemavu, Jenista Mhagama
akizungumza na mbunge wa Viti Maalum Jackline Ngonyani Mshongozi
(kushoto), bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi
Isack Kamwelwe, bungeni jijini Dodoma, Februari 4, 2020. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...