Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (kulia) , bungeni jijini Dodoma, Februari 3, 2020. Wa tatu kulia ni Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega na wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omary Mgumba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Hussein Bashe, bungeni jijini Dodoma, Februari 3, 2020.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri, Ofisi ya Rais TAMISEMI,  Jesephat Kandege bungeni jijini Dodoma, Februari 3, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mbunge wa Busega, Dkt. Raphael Chegeni, bungeni jijini Dodoma, Februari 3, 2020.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, bungeni jijini Dodoma, Februari 3, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge, Joseph Haule wa Mikumi (kulia) na  Peter  Lijualika  wa Kilombero kwenye viwanja vya bunge jijini Dodoma, Februari 3, 2020. 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge wa Viti Maalum  kwenye viwanja vya bunge jijini Dodoma, Februari 3, 2020. Kutoka kushoto ni  Cesilia Pareso, Grace Kiwelu na Risala Kabongo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mbunge wa Igunga,  Dkt. Dalaly  Kafumu kwenye jengo la utawala la bunge jijini Dodoma, Februari 3, 2020.  Katikati ni Mbunge wa Viti Maalum, Shally Raymond.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kizungumza na wananchi kutoka kijiji cha  Mwanzugi  wilayani Igunga waliotembelea bunge kwa mwaliko wa mbunge wao, Dkt. Dalaly Kafumu (wa pili kushoto), Februari 3, 2020.  Kutoka kulia ni Abel Nching’wa, Ntemi Mboje na Mahona Lutengwa. 
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mnadhimu  mkuu wa kambi  rasmi ya upinzani bungeni, Ester Bulaya, kwenye jengo la utawala la Bunge jijini Dodoma, Februari 3, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...