Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhiri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya
CCM kilichofanyika Ofisi Ndogo ya chama hicho tawala mtaa wa Lumumba
jijini Dar es salaam leo Februari 28, 2020
Viongozi waandamizi watano kutoka vyama vya upinzani
wakitambulishwa na kupokelewa rasmi kuwa wana CCM mbele ya Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli na wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu ya CCM
kilichofanyika Ofisi Ndogo ya chama hicho tawala mtaa wa Lumumba
jijini Dar es salaam leo Februari 28, 2020. Kutoka kushoto ni
aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Vincent Mashinji, aliyekuwa Meya
wa jiji la Arusha kupitia CHADEMA Bw. Kalisti Lazaro, aliyekuwa Meya
wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi ya CHADEMA Mchungaji David
Mwashilindi, aliyekuwa Mbunge wa Tandahimba kupitia CUF, Bw. Katani
Ahmed Katani na aliyekuwa Naibu Meya wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi
ya CHADEMA Bw. Fanuel Kyanula
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhiri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na wajumbe wa Kamati Kuu
ya CCM wakitambulishwa na kuwakaribisha rasmi viongozi waandamizi
kutoka vyama vya upinzani walioamua kujiunga na CCM wakati wa Kikao
cha Kamati Kuu ya chama hicho tawala katika Ofisi zake Ndogo mtaa wa
Lumumba jijini Dar es salaam leo Februari 28, 2020. Kutoka kushoto ni
aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Vincent Mashinji, aliyekuwa Meya
wa jiji la Arusha kupitia CHADEMA Bw. Kalisti Lazaro, aliyekuwa Meya
wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi ya CHADEMA Mchungaji David
Mwashilindi, aliyekuwa Mbunge wa Tandahimba kupitia CUF, Bw. Katani
Ahmed Katani na aliyekuwa Naibu Meya wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi
ya CHADEMA Bw. Fanuel Kyanula

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhiri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na aliyekuwa Meya wa
Jiji la Mbeya kupitia tiketi ya CHADEMA Mchungaji David Mwashilindi,
anayefuatiwa na aliyekuwa Naibu Meya wa jiji la Mbeya Bw. Fanuel
Kyanula pamoja na aliyekuwa Meya wa jiji la Arusha kupitia CHADEMA Bw.
Kalisti Lazaro baada ya kutambulishwa na kupokelewa rasmi kuwa wa
wanachama wa CCM mbele ya Kikao cha Kamati Kuu ya CCM klichofanyika
Ofisi Ndogo ya chama hicho tawala mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam
leo Februari 28, 2020
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhiri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na aliyekuwa Naibu
Meya wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi ya CHADEMA Bw. Fanuel Kyanula
anayefuatiwa na aliyekuwa Meya wa jiji la Arusha kupitia CHADEMA Bw.
Kalisti Lazaro baada ya kutambulishwa na kupokelewa rasmi kuwa
wanachama wa CCM mbele ya Kikao cha Kamati Kuu ya CCM klichofanyika
Ofisi Ndogo ya chama hicho tawala mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam
leo Februari 28, 2020
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhiri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na aliyekuwa Meya wa
jiji la Arusha kupitia CHADEMA Bw. Kalisti Lazaro baada ya
kutambulishwa na kupokelewa rasmi kuwa wanachama wa CCM mbele ya Kikao
cha Kamati Kuu ya CCM klichofanyika Ofisi Ndogo ya chama hicho tawala
mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo Februari 28, 2020.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...