Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimkabidhi Tuzo Maalumu.....katika kutambua mchango wake mkubwa
katika tasnia ya afya
wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Madaktari Kitaifa mwaka 2020 katika
Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es
salaam leo Alhamisi Februari 20, 2020. Wanaoshuhudia ni Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora) Mhe. George Mkuchika, Naibu Waziri
wa Afya Dkt Faustine Ndugulile, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt.
Zainabu , Mlezi wa Chama cha Madaktari (MAT) Profesa Lawrence Maseru
na Rais wa MAT Dkt. Elisha Osati
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimkabidhi Tuzo Maalumu Ofisa Tabibu Wilson Koweli Chota Mganga
kutoka kijiji cha Uturo, Mbalali, Mbeya, katika kutambua mchango wake
mkubwa katika tasnia ya afya
wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Madaktari Kitaifa mwaka 2020 katika
Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es
salaam leo Alhamisi Februari 20, 2020. Wanaoshuhudia ni Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora) Mhe. George Mkuchika, Naibu Waziri
wa Afya Dkt Faustine Ndugulile, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt.
Zainabu , Mlezi wa Chama cha Madaktari (MAT) Profesa Lawrence Maseru
na Rais wa MAT Dkt. Elisha Osati
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akipokeTuzo Maalumu aliyokabidhiwa na Chama Cha Madaktari
Tanzania (MAT) kwa kutambua mchango wake Mkubwa katika sekta ya Afya
nchini toka kwa Rais wa Chama hicho Dkt. Elisha wakati wa Maadhimisho
ya Siku ya Madaktari Kitaifa mwaka 2020 katika Kituo cha Mikutano cha
Kimataifa cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam leo Alhamisi
Februari 20, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akifurahia Tuzo Maalumu aliyokabidhiwa na Chama Cha Madaktari
Tanzania (MAT) kwa kutambua mchango wake mkubwa katika sekta ya afya
nchini huku Naibu Waziri wa Afya Dkt. Faustine Ndugulile akishangilia
wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Madaktari Kitaifa mwaka 2020 katika
Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere jijini Dar es
salaam leo Alhamisi Februari 20, 2020
PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...