Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Mabalozi wastaafu pale Mabalozi hao walipoingia katika ukumbi wa Bunge kwa ajili ya kujifunza jinsi Bunge linavyofanya kazi zake.
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Mabalozi wastaafu walipotembelea Bunge leo Jijini Dodoma, kwa ajili ya kujifunza jinsi Bunge linavyofanya kazi zake
 Mabalozi mbalimbali wastaafu wakiwa katika ukumbi wa Bunge wakimsikiliza Spika Job Ndugai (hayupo kwenye picha) walipomtembelea leo Bungeni Jijini Dodoma. Pia walijifunza jinsi Bunge linavyofanya kazi zake
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Balozi Mstaafu, Mhe. Matilda Buriani pale Mabalozi wastaafu walitembelea Bunge kwa ajili ya kujifunza jinsi Bunge linavyofanya kazi zake Jijini Dodoma. Kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro
 Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa saba kushoto) katika picha ya pamoja na Mabalozi wastaafu nje ya ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma. Mabalozi hao walitembelea Bunge kwa ajili ya kujifunza jinsi Bunge linavyofanya kazi zake.

Spika wa Bunge, Job Ndugai akiagana na Mabalozi mbalimbali wastaafu nje ya ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma. Mabalozi hao walitembelea Bunge kwa ajili ya kujifunza jinsi Bunge linavyofanya kazi zake.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...