Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Sslaam na Pwani (DAWASA) imeendelea kutekeleza agizo la Serikali la kuhimiza unawaji mikono kwa sabuni.
Ofisi zote za Mamlaka zimeandaa masinki katika milango mikuu ya kuingia katika Majengo yake ili kuwezesha Watumishi na wageni wote kupata huduma kunawa mikono kwa majisafi na sabuni kabla ya kuingia.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...