Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la jengo la Ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Handeni, Machi 3, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mitambo baada ya kuweka jiwe la
msingi la kiwanda cha kuchakata nafaka katika kijiji cha Mkata wilayani
Handeni Machi 3, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Mkata wilayani Handeni, machi 3, 2020.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipowasili
kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Chanika mjini Handeni kuhutubia
mkutano wa hadhara, Machi 3, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja
wa Shule ya Msingi ya Chanika mjini Handeni, Machi 3, 2020. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Chanika mjini Handeni, Machi 3, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...