Mkurugenzi Mendaji wa Tasisi ya SUKOS, Suleiman Kova (kulia) (Kamanda
mstaafu wa Jeshi la Polisi) akipima kiwango cha joto katika jitihada za kukabiliana na kirusi cha Corona. naempima ni Mratibu wa Afya ya Jamii Mkoa wa Dar es Salaam,Agnes Mgaya katika semina elekezi dhidi ya mampambano ya ungonjwa corona madeleva wa pikipiki leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mendaji wa Tasisi ya SUKOS, Suleiman Kova (kulia) (Kamanda mstaafu wa Jeshi la Polisi) akizungumza na waaandi wa habari katika semina elekezi dhidi ya mampambano ya ungonjwa corona madeleva wa pikipiki leo jijini Dar es Salaam.
Mratibu wa Afya Kinywa na Meno, Dkt.Daisy Majamba akizungumza na madeleva wa pikipiki namna ya kijikinga na kirusi cha Corona leo katika semina elekezi dhidi ya mampambano ya ungonjwa corona.
Katibu wa Afya mkoa wa Dar es Salaam, Sister Mathew akisistiza jambo namna ya kujikinga na kirusi cha Corona leo katika semina elekezi dhidi ya mampambano ya ungonjwa corona kwa kushirikiana na madeleva wa pikipiki.
Madeleva wa pikipiki wakimsiliziza Mkurugenzi Mendaji wa Tasisi ya SUKOS,Suleiman Kova (kulia) (Kamanda mstaafu wa Jeshi la Polisi)
(Picha na Emmanuel Massaka,Michuzi Tv)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...