Wananchi wa jiji la Dar es Salaam wakinawa mikono katika kituo Daladala Mbezi Luis wilaya ya Ubungo leo kabla ya kuingia ndani ya daladala ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kama inavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Wananchi wa jiji la Dar es Salaam leo wakinawa mikono katika kituo cha daladala Mbagala rangi Tatu wilaya ya Temeke kabla ya kuingia ndani ya daladala ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kama inavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...