Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
(kulia) akizungumza jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George
Simbachawene katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma leo Aprili 8/2020.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge, Job Ndugai ofisini kwake bungeni jijini Dodoma leo Aprili 8/2020


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akifuatalia mjadala wa Bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa kwa mwaka wa fedha wa 2020/2021 ulioiwasilishwa na
Waziri wake, Selemani leo Aprili 8/2020. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...