Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,
akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar, Mihayo Juma Nhunga (kushoto), wakati akiwasili kwenye uwanja
wa Abeid Amani Karume, kumwakilisha Rais Magufuli, kwenye dua ya
kumuombea aliyekua Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Amani Karume,
katika kumbukizi ya kifo chake, Zanzibar Aprili 7, 2020. Katikati ni
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Hassan Khatib Hassan.


Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali
Mohammed Shein, akiwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Kassim Majaliwa, wakiomba dua kwenye kaburi la Rais wa kwanza wa
Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume, kwenye dua ya kumuombea muasisi
huyo, iliyofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui, katika kumbukizi
ya kifo chake,an Zzibar Aprili 7, 2020. Waziri Mkuu amemwakilisha Rais
Magufuli.

Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali
Mohammed Shein, akizungumza na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, baada ya
dua ya Muasisi na Rais wa kwanza wa Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume,
iliyofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui, katika kumbukizi ya
kifo chake, Zanzibar Aprili 7, 2020

Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt.
Amani Karume, akiwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Kassim Majaliwa, wakiomba dua kwenye kaburi la Rais wa kwanza wa
Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume, akizungumza na Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa, baada ya dua ya Muasisi na Rais wa kwanza wa Zanzibar, Sheikh
Abeid Amani Karume, iliyofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui,
katika kumbukizi ya kifo chake, Zanzibar Aprili 7, 2020 (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...