Rais wa Burundi ambaye anamaliza muda wake,  Pierre Nkurunziza (55) ameaga dunia leo wakati akipatiwa matibabu katika hospitali ya Karusi nchini humo, baada ya kupata Shinikizo la damu.

Taarifa hizo zimetolewa hivi punde na kituo cha Mtandao wa Serikali ya Burundi ikithibitisha kifo jioni hii. Hivi karibuni iliripotiwa kuumwa kwake katika mitandao mbalimbali ambapo kabla ya kuumwa aliweza kushiriki katika Uchaguzi Mkuu wa Nchi hiyo Mwezi Mei.

Tutaendelea kuwajuza kwa habari zaidi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...