Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi (M) Dar es salaam Ndg.Ally Ummy amefungua Mkutano wa tawi la Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwl.Nyerere kilichopo Kigamboni Jijini Dar es salaam.
Ndg.Ummy ametumia fursa hiyo kuwataka vijana kuwa wamoja na kuacha marumbano yasiyo na msingi ndani ya Chama na kutumia nguvu kubwa kutafakari na kupanga mikakati ya namna ya kuongeza kura za Chama Cha Mapinduzi,
Aidha amesisitiza vijana kuwa wainjilisti wa kuhubiri kazi nzuri na njema iliyofanywa na inayoendelea kufanywa na Serikali inayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi sambamba na kupinga usaliti kwa taifa letu.
amesisitiza kuwa Vijana hawatokubali kuchekwa na dunia kwa kutompa moyo kiongozi ambae nchi nyingi zimetamani kuwa nae.
Mhandisi Umny amesisitiza kuwa maendeleo ni mchakato endelevu lakini serikali ya CCM Chini ya Dr.John Pombe Magufuli imedhihirisha kuwa ni serikali ya kazi kwa kutekeleza sehemu kubwa ya ahadi zake kwa uharaka na viwango vya hali ya juu jambo ambalo halihitaji wahenga kuja kutuhadithia.
Katibu Hamasa aliongozana na Katibu wa Seneti ya Mkoa wa Dar es salaam Ndg.Daud Ramadhan na Mkuu wa Mafunzo ya Chipukizi Mkoa wa Dar es salaam Ndg.Mtiti Mbasa Butiku na katibu
Mkutano wa Chuo Cha Mwalimu Nyerere umekuwa Mkutano wa Kwanza wa Vyuo Vikuu tangu kuruhusiwa upya kwa shughuli za kisiasa kutoka Chama Cha Mapinduzi.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...