Mjumbe wa Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es
Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na
Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam leo Juni
24,2020 alipokuwa katika ziara ya Kichama katika Mkoa wa Dar es Salaam.



Wajumbe wa Kamati
ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Ilala wakimsikiliza Mjumbe
wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa
Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akizungumza nao katika ukumbi wa
Halmashauri ya Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam leo Juni 24,2020.

Mjumbe wa Kamati
Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es
Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, akisalimiana na Matumishi wa Halmashauri ya Wilaya Ilala
alipowasili katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Ilala Jijini Dar
es Salaam leo Juni 24,2020 kwa ajili ya kuzungumza na Wajumbe wa
Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Ilala.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...