Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akionyesha mkoba wenye fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar.Kushoto ni Katibu Kamati Maalumu ya NEC na Idara ya Oganaizesheni,fomu hiyo amechukua leo katika Afisi ya CCM Kisiwandui Zanzibar.Picha na Abubakari Akida
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akionyesha mkoba wenye fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar,kulia ni mkewe Thania Abdulla, fomu hiyo amechukua leo katika Afisi ya CCM Kisiwandui Zanzibar.Picha na Abubakari Akida
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akikabidhiwa maelekezo maalumu na Katibu Kamati Maalumu ya NEC na Idara ya Oganaizesheni,Garosi Nyimbo baada ya kufika Afisi Kuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM) kuomba kuteuliwa na CCM kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar, fomu hiyo amechukua leo katika Afisi ya CCM Kisiwandui Zanzibar.Picha na Abubakari Akida
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akiongozana na mkewe Thania Abdulla(kulia) wakati akiwasili Afisi Kuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM),kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya CCM kuteuliwa kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar.Picha na Abubakari Akida
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...