Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene,
akizungumza na Wajumbe
wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi, katika ukumbi mdogo wa mikutano wa
Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Prof.
Suffian Bukurura, na kushoto ni Katibu wa Bodi, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa
Polisi (SACP), John Massawe. Picha na Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia), akimsikiliza Mwenyekiti
wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi, Prof. Suffian
Bukurura (katikati), wakati alipokuwa anatoa taarifa ya Bodi hiyo, katika Kikao
kilichofanyika Ukumbi Mdogo wa Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto ni
Katibu wa Bodi, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), John Massawe.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati), akimsikiliza Katibu
wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi, Kamishna Msaidizi
Mwandamizi wa Polisi (SACP), John Massawe (wapili kushoto), wakati alipokuwa anazungumza
katika Kikao kilichofanyika Ukumbi Mdogo wa Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Watatu
kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Prof. Suffian Bukurura. Picha na
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene
(kulia), akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi
la Polisi, katika ukumbi mdogo wa mikutano wa Wizara, jijini Dar es Salaam,
leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...