Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais Muungano na Mazingira Mh. Mussa Azzan Zungu akifafanua jambo
wakati wa kikao na Menejimenti ya Baraza la Taifa la Uhifadhi na
Mazingira (NEMC) pamoja na Wadau wa Mazingira kilichofanyika katika
Ofisi za NEMC jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais Muungano na Mazingira Mh. Mussa Azzan Zungu akiongea wakati wa
kikao na Menejimenti ya Baraza la Taifa la Uhifadhi na Mazingira (NEMC)
pamoja na Wadau wa Mazingira kilichofanyika katika Ofisi za NEMC jijini
Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa
la Uhifadhi na Mazingira (NEMC) Dkt Samuel Gwamaka akitoa ufafanuzi wa
jambo wakati wa kikao hiko.

Mdau wa Mazingira kutoka Mkoani
Mbeya Bwana Ali Adon akionyesha nyaraka mbalimbali ambazo alihitaji
kuzipatia ufafanuzi kuhusiana na biashara yake ya Kituo cha Mafuta
kilichoko Mkoani Mbeya.

Mfanyabiashara kutoka Wellworth
Company Bwana Zulfakir Ismail akichangia jambo wakati wa kikao hiko
kilichoitishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na
Mazingira Mh. Mussa Azzan Zungu kilichokutanisha Menejimenti ya NEMC na
Wadau mbalimbali wa Mazingira.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...