( TDFAA - Tanzania Drama & Film Actors Association ).
Salamu Za Pole.
Sisi Chama Cha Waigizaji Nchini , Tumepokea Kwa Mshtuko na Masikitiko Makubwa Kifo Cha Mzee Wetu na Kipenzi Chetu Rais Mstaafu wa Awamu Ya Tatu Mzee Benjamin William Mkapa Kilichotokea Usiku Wa Kuamkia Leo 24,July,2020 Jijini Dar es salaam.
Chama Kinatoa Pole Kwa Mh. Rais Doctor John Pombe Magufuli , Chama Cha Mapinduzi , Familia Ya Mzee Mkapa na Watanzania Wote Kwa Ujumla , Tumempoteza Mmoja Kati Ya Watu ambao Tulitegemea Busara Zao Katika Kila Magumu Tunayopitia Kama Taifa .. Tutaendelea Kumkumbuka Kwa Juhudi na Uchapakazi Wake Kipindi alipokuwa Kiongozi Mkuu Wa Nchi Kwa Mipango Yake Mbali Mbali Iliyoonyesha anauchukia Umasikini wa Watanzania Kutoka Moyoni Kwa Kuanzisha MKUKUTA , MKURABITA na Miradi Mingineyo ambayo Kabla Yake Haiukuwahi Kuwepo.
Pumzika Kwa Amani Mzee Wetu Benjamin William Mkapa , Tulikupenda Ila Mungu amekuoenda Zaidi.
Taifa Litaendelea Kukukumbuka na Kukulilia DA I'm a.
BWANA AMETOA , BWANA AMETWAA , JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
Massoud Kaftany.
Afisa Habari , Uenezi na Mahusiano na Umma
Mawasiliano - +255 655 660 377

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...