Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga akimkabidhi Katibu wa CCM Wilaya ya Mbozi Ndg Julius Mbwiga Fomu alizozijaza za Kugombea Ubunge Jimbo la Vwawa Mkoani Songwe kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi leo Julai 15, 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal)
Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga akionyesha Fomu alizozijaza za Kugombea Ubunge Jimbo la Vwawa Mkoani Songwe kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ambazo amezijaza na kuzirejesha leo Julai 15, 2020.
Katibu wa CCM Wilaya ya Mbozi Ndg Julius Mbwiga akikagua fomu zilizowasilisha ofisini kwake na Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga za kugombea Ubunge Jimbo la Vwawa Mkoani Songwe kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi leo Julai 15, 2020.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...