MTANGAZAJI mahiri wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Shafiru Makosa leo amechukua fomu ya kuwania ubunge wa Jimbo la Tandahimba.
Akizungumza baada ya kuchukua fomu, Makosa alisema wananchi wa jimbo hilo wanahitaji kiongozi mwenye malengo kama yeye.

" Wakati wa kufanya kampeni bado, itoshe kuelekeza kwamba, nimejipima naona natosha kuwatumikia wakazi wa Tandahimba," alisema Makosa.
Makosa alisema pamoja na umahiri wa uongozi anawaomba wapigakura kutumia haki yao ya msingi kumchagua.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...