Na Al-Hassan Muhidin
Mkemia Herman Kweka amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Ubunge katika wilaya ya Kigamboni akiwa ni miongoni mwa makada wachache wanaotajwa kuleta ushindani katika kinyang'anyiro cha kura za maoni ndani ya Chama hicho.
Rais wa Chama cha Mpira wa Kikapu (TBF) Phares Magesa akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuchukua fomu ya kugombea ubunge la Jimbo la Mbagala.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...