Mwandishi wa Habari wa Star Tv Grolia Matola akikabidhiwa fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Temeke na kudai kuwa nia yake ni kutumikia wananchi pamoja na Demokrasia ya Chama Mapinduzi imeimarika a kutokana na mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt.John Pombe Magufuli kuchapa kazi na kuwa na uwazi wenye maendeleo kwa chama pamoja na nchi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...