Mapema leo mjini Moshi Ndugu NICE MUNISSY amechukua fomu ya kugombea nafasi ya ubunge katika bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kundi la wanawake Mkoa wa kilimanjaro. Yeye ni Mjumbe wa Baraza Kuu la Vijana Taifa, na Mshauri wa masuala ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa.
Ndugu Nice Munissy pia ni Balozi wa Maliasili na Utalii nchini, Rais Mstaafu wa chuo Cha Diplomasi na amefanya kazi za kidiplomasia na Balozi mbalimbali ikiwamo ubalozi wa China, Iran na Palestine,
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...