Leo  Julai 15,2020 Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana D. Shonza (kushoto) amechukua na kurejesha fomu ya kuwania ubunge wa Viti  Maalumu (UWT) mkoa wa Songwe ambapo Mhe. Shonza anaingia kwenye kinyang'anyiro hicho kutetea nafasi yake ya kuendelea kuwawakilisha wakinamama wa Mkoa wa Songwe aliyoitumikia kwa miaka mitano tangu 2015 hadi 2020.

Mhe. Shonza amechukua fomu hiyo katika ofisi za UWT mkoa wa Songwe ambapo amekabidhiwa fomu na Katibu wa UWT mkoa Bi. Camila Kigosi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...