Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi
wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora
katika mkutano wa utekelezaji wa mpango kazi kwa kipindi cha mwaka
2020/2021 kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto)
Makamo wa Pili wa Rais Balozi seif Ali Iddi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na
Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora
katika mkutano wa utekelezaji wa mpango kazi kwa kipindi
cha mwaka 2020/2021 katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu
Mjini Zanzibar

Baadhi ya Wakurugenzi wa Idara mbali mbali katika Wizara
ya Nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwa katika
mkutano wa utekelezaji wa mpango kazi kwa kipindi cha mwaka
2020/2021 katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Uongozi wa Wizara ya Nchi
Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakiwa katika mkutano
wa utekelezaji wa mpango kazi kwa kipindi cha mwaka 2020/2021
katika kikao kilichofanyika leo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar

Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali Bi.Fatma Mohamed Said alipokuwa akichangia katika katika kikao utekelezaji wa mpango kazi kwa kipindi cha mwaka 2020/2021 cha Wizara ya Nchi
Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na Utawala Bora kilichofanyika
leo patika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,(kulia) Mshauri wa Rais Pemba
Dk.Mauwa Abeid Daftari .[Picha na Ikulu.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...