Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa Begi leye
Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kupitia Tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28
Oktoba, 2020 na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Jaji Mstaafu
Semistocles Kaijage katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini
Dodoma leo tarehe 6 Agosti, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika Begi
leye Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
kupitia Tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28
Oktoba, 2020 pamoja na Mgombea Mwenza Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan
mara baada ya kuchukua Fomu hizo katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC
Njedengwa jijini Dodoma leo tarehe 6 Agosti, 2020.Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisaini Kitabu mara baada ya
kuchukua Fomu hizo za Kugombea Urais katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC
Njedengwa jijini Dodoma leo tarehe 6 Agosti, 2020.
Mgombea Mwenza kwa Tiketi ya CCM Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan
akisaini kitabu katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini
Dodoma leo tarehe 6 Agosti, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wanachama
wa CCM mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya Chama hicho White House Dodoma wakati
akitoka kuchukua Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kupitia Tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu
utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoka katika Ofisi
za Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma leo tarehe 6
Agosti, 2020 mara baada ya kuchukua Fomu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na
Mgombea Mwenza Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan katika Ofisi za Makao
Makuu ya CCM White House jijini Dodoma mara baada ya kuchukua Fomu.Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika Begi la Fomu ya
Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
Tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020
mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM White House
jijini Dodoma mara baada ya kuchukua Fomu. Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
CCM Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameketi katika Makao
Makuu ya Chama cha Mapinduzi CCM White House jijini Dodoma mara baada ya
kuwasili wakati akitokea Ofisi za NEC.
PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...