Na Abdullatif Yunus Michuzi Tv

 Jeshi la Polisi Wilaya ya Biharamulo.Kituo Cha Nyakaura ,Linamshikilia Amani Philipo Mkazi wa Kijiji cha Nyabugombe.

Kwa tuhuma ya kuwasha Moto uliosababisha Nguzo za Umeme kuungua kijijini hapo.

Matukio Kama hayo ya uchomaji Moto mbuga pamoja na maeneo mengine yanaonekana kuendelea kushika Kasi, ambapo kwa Sasa Shirika la Umeme Nchini limeendelea kupata Hasara ya uharibifu wa miundo mbinu yake kwa kiasi kikubwa.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...