Mgombea wa Urais ,Yeremia Kulwa Maganja akikabidhiwa Begi lenye Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha NCCR MAGEUZI katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma.
Mgombea wa Urais ,Yeremia Kulwa Maganja wakionyesha Mikono juu wakiwa na Begi lenye Fomu ya Kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha NCCR MAGEUZI  katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 pamoja na Mgombea Mwenza Haji Ambar Khamis mara baada ya kuchukua Fomu hizo katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa  leo jijini Dodoma.
Mgombea wa Urais ,Yeremia Kulwa Maganja kupitia Chama cha NCCR MAGEUZI katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020 akisaini Kitabu mara baada ya kuchukua Fomu hizo za Kugombea Urais katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa leo jijini Dodoma kulia ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Dk. Wilson Mahera Charles.
Mgombea Mwenza kupitia Chama cha NCCR MAGEUZI  Haji Ambar Khamis akisaini kitabu katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa leo jijini Dodoma.
Sehemu ya wafuasi wa chama cha NCCR MAGEUZI walipomsindikiza Mgombea wa Urais ,Yeremia Kulwa Maganja  kupitia Chama cha NCCR MAGEUZI katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020  katika Ofisi za Makao Makuu ya NEC Njedengwa jijini Dodoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...