RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwahutubia Wananchi wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane yanayofanyika katika Viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba leo 6/8/2020.(Picha na Ikulu)

WANANCHI wa Mikoa Miwili ya Pemba wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Maonesho ya Nanenane yanayofanyika katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) akihutubia na kuyafungua maonesho hay oleo 6/8/2020.(Picha na Ikulu)








KATIBU
Mkuu Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Bi. Maryam
Juma Sadala (Mabodi) akitowa maelezo ya Kitaalam wakati wa hafla ya
ufunguzi wa Maonesho ya Manenane yanayofanyika katika viwanja vya
Chamanangwe Wilaya ya Micheweni Pemba leo 6/8/2020.(Picha na Ikulu)

WAZIRI
wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe. Mmanga Mjengo
Mjawiri, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo
pichani) maonesho hayo yanafanyika katika Viwanja vya Chamanangwe Wilaya
ya Micheweni Pemba leo 6/8/2020.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...