Afisa Mwandamizi wa Taarifa Rasmi
za Bunge, Ndg. Patson Sobha akielezea historia ya Bunge kwa wanafunzi wa
Modern English Medium Pre and Primary School walipotembelea banda la
Bunge katika Maonyesho ya Nane nane 2020 yanayoendelea katika viwanja
vya Nzuguni Jijini Dodoma.

Afisa Mwandamizi wa Taarifa Rasmi
za Bunge, Ndg. Patson Sobha akielezea kazi ya siwa (mace) Bungeni kwa
wanafunzi wa Modern English Medium Pre and Primary School walipotembelea
banda la Bunge katika Maonyesho ya Nane nane 2020 yanayoendelea katika
viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma.

Afisa Mwandamizi wa Taarifa Rasmi
za Bunge, Ndg. Patson Sobha akitoa ufafanuzi kuhusu joho la Spika,
Wenyeviti wa Bunge na Makatibu Mezani kwa wanafunzi wa Modern English
Medium Pre and Primary School walipotembelea banda la Bunge katika
Maonyesho ya Nane nane 2020 yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni
Jijini Dodoma.

Wanafunzi wa Modern English Medium
Pre and Primary School watembelea banda la Bunge katika Maonyesho ya
Nane nane 2020 yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma.

Walimu na
wanafunzi wa Modern English Medium Pre and Primary School wakiwa katika
picha ya pamoja baada ya kutembelea banda la Bunge katika Maonyesho ya
Nane nane 2020 yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma.(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...