Msafara wa magari na pikipiki
ukimsindikiza Mgombea ubunge jimbo la Karagwe na Waziri wa Viwanda na
Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa kwenye uzinduzi wa Kampeni za CCM
jimbo la Karagwe kwa upande wa Urais, Wabunge na Madiwani uliofanyika
kwenye viwanja vya Stendi ya Omurushaka, Karagwe, Kagera
Mgombea ubunge jimbo la Karagwe na
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa akizungumza na
Wananchi wa Karagwe wakati wa uzinduzi wa Kampeni za CCM jimbo la
Karagwe kwa upande wa Urais, Wabunge na Madiwani katika viwanja vya
Stendi ya Omurushaka, Karagwe, Kagera

Wagombea Udiwani wa kata 23 za
jimbo la Karagwe na Udiwani viti maalum wakitambulishwa kwa wananchi
wakati wa uzinduzi wa Kampeni za CCM jimbo la Karagwe kwa upande wa
Urais, Wabunge na Madiwani katika viwanja vya Stendi ya Omurushaka,
Karagwe, Kagera.
Picha na Eliud Rwechungura



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...