
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi kijiji cha
Kitama kata ya Mihuta alipokuwa njiani kuelekea Tandahimba Mkoani Mtwara
kwa ajili ya kuhutubia Mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM
leo Septemba 11,2020.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...