Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Kijiji
cha Somanga Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi alipokuwa njiani kuelekea
Mkoani Mtwara kwa ajili ya mikutano ya Kampeni za Chama cha Mapinduzi
CCM .

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Kijiji
cha Nangurukuru Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi alipokuwa njiani kuelekea
Mkoani Mtwara kwa ajili ya mikutano ya Kampeni za Chama cha Mapinduzi
CCM leo Septemba 09,202.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...