Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Mpuguzi katika Jimbo la Dodoma mjini wakati akiwa njiani kuelekea katika mikutano ya Kampeni za CCM mkoani wa Iringa leo tarehe 28 Septemba 2020



Wananchi wa Mpuguzi mkoani Dodoma wakishangilia mara baada ya Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kusimama katika eneo hilo leo tarehe 28 Septemba 2020 wakati akielekea mkoani Iringa.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais  Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Manzase Mvumi mkoani Dodoma wakati akielekea mkoani Iringa leo tarehe 28 Septemba 2020


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...