Maelfu kwa Maelfu ya Wananchi wakimsikiliza Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala naRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuliakihutubia  katika mkutano wake wa kampeni  katika viwanja vyaGymkhana mjini Bukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni  katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020
Wasani wa TMK wakiwa na alama kuu za CCM bnaada ya kutumbuiza kwenye mkutano wa kampeni viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leo Septemba 16, 2020Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mbunge wa Bukoba mjini na Waziri wa Maliasili na Utalii Mstaafu Balozi Khamis Juma Suedi Kagasheki akimnadi Bw. Stephen Byabato (aliyejishika mikono) kugombea ubunge wa jimbo hilo huku Meya Mstaafu wa Manispaa ya Bukoba Dkt. Anatory Amani (kulia) akingoja kufanya hivyo katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge wa jimbo Bukoba Vijijini Mhe. Jason Rweikiza huku wabunge wateule wa CCM Viti maalum wakingoja zamu zao baada ya kuhutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni  katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga baada ya kuhutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni  katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza sala ya kuombea wanafunzi 10 waliofariki na wengine kujeruhiwa kwa ajali ya moto katika Shule ya Msingi Islamic Byamungu iliyopo kata yaIrera Wilayani Kyerwa mkoani Kagera iliyotokea majuzi kabla ya kuanza kwa mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...