

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Musoma katika mkutano wa Kampeni za Urais kwa upande wa CCM zilizofanyika katika viwanja wa Mukendo mkoani Mara.


Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere ambaye alimuombea Kura katika mkutano wa Kampeni za Urais kwa upande wa CCM zilizofanyika katika viwanja wa Mukendo mkoani Mara.


Sehemu ya Wanachi waliokusanyika katika uwanja wa Mukendo Musoma mkoani Mara kwa ajili ya kumsikiliza Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli.

Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika viwanja vya Mukendo kwa ajili ya kuwahutubia wananchi wa Musoma mkoani Mara.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...