Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu Bunge Ndg. Jane Kajiru  alifungua kwa niaba ya Katibu wa Bunge Mafunzo kuhusu Jinsia yaliyotolewa kwa Watumishi wa Bunge–Idara ya Maktaba na Utafiti. Mafunzo hayo yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Msekwa chini ya Ufadhiri wa Mradi wa Kulijengea Bunge uwezo (LSP II).
Watumishi wa Bunge kutoka Idara ya Maktaba na Utafiti wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Bunge Ndg. Jane Kajiru baada ya kufungua kwa niaba ya Katibu wa Bunge Mafunzo kuhusu Jinsia yaliyotolewa kwa Watumishi wa Idara hiyo kwenye Ukumbi wa Msekwa chini ya Ufadhiri wa Mradi wa Kulijengea Bunge uwezo (LSP II).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...